Mkurugenzi mtendaji wa uzingatiaji na utekelezaji wa sheria ya mazingira NEMKI RUTHI RUGWISHA amesema wameamuwa kutoa mafunzo na mbinu za kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa maafisa mazingira katika halmashauri hapa nchini . Lengo kuondoa na kutokomeza uchafuzi wa mazingira amesema haya kwenye mafunzo ya maafisa mazingira wilaya ya kinondoni eneo la makumbusho jijini Dar es salaam .washiriki 33 kutoka kwenye halmashauri zote jijini Dar es salaam zote5 zimeshiriki. ametoa rai kwa washiriki kutumia mafunzo aya katika kutunza nakuboresha mazingira na kusimamia sheria ya mazingira kwa uweredi zaidi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment