Waziri wa afya ,jinsia, watoto na wazee UMMY MWALIMU amesema wametoa bilioni moja kwaajili ya kununua vifaa tiba na dawa .Lengo kutokomeza kansa hapa nchini amesema haya wakati wa kukabidhiwa vifaa 109 kwaajili ya kutibu kansa
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment