Mwenyekiti wa wilaya ya Kilindi mkoani Tanga MUSSA MDOE amewatoa ofu wakazi wake kwa kuwaambia kuwa watapata huduma bora za kiafya kwani wanatengeneza ospitali bora na za kisasa . amesema haya kwenye mkutano mkuu wa ALAT jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment