Meya wa manispaa ya Moshi mjini ameitaka serikali iachane na nguzo zinazowekwa na Rea zenye dawa ya kijani kwani nguzo izijakomaa na dawa zinazotumika azina uhai mkubwa na badara yake serikali iwaambie Rea watumie dawa nyeusi ambayo inadumu kwa miaka 25 . kwani wasipo fanya hivi serikali itaingia asara kubwa mno amesema haya kwenye mkutano wa 33 wa jumuia ya tawala serikali za mitaa Tanzania [ALAT] ambako unafanyika ukumbi wa mwalimu Nyerere posta jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment