Kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO ZITO ZUBERY KABWE ameionya serikali waache kuwadanganya watanzania kuusu kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barki.kwani akuna ukweli wa kulipwa bilioni mia700 pia amewaonya waandishi wa habari kuacha mara moja kusambaza taarifa za uongo kuusu kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barki . Pia amesema takwimu zinazotolewa na BOT pamoja na TRA ni za kupikwa kwani uchumi wa Tanzania unazidi kuporomoka siku adi siku
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment