Waziri wa elimu Tanzania prof JOYCE NDALICHAKO amesema wanafunzi wanaoitimu vyuo vikuu waache kulalamika kuwa ajira amna Tanzania na badala yake wajitaidi kutuma maombi ya kazi ndani ya serikali na sekta binafsi kwani kulalamika pasipo kufanya jitihada yeyote hakutasaidia kutu badala yake kujirudisha nyuma kimaendeleo.
Kwa upande mwingine amesema wanafunzi wanaofaziliwa na makampuni binafsi wanatakiwa kusoma kwa juhudi na wawe wazalendo wa kweli na kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati ili kusaidia nchi kusonga mbele kimaendeleo
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment