Meneja mauzo wa kampuni kongwe ya Sora SAMANCHOGU KIHORE amezitaka halmashauri zote hapa nchini kutumia sora .Lengo kupunguza gharama za umeme na kuwafikia wananchi wa vijijini kwa huduma mbalimbali tena amewataka watumie kampuni yao .amesema haya kwenye mkutano mkuu wa 33 ALAT unaofanyika ukumbi wa mwalimu Nyerere uliopo posta jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment