Mratibu wa miradi mashuleni NOERE MAODHI amesma wameamuwa kupeleka miradi kwa wanafunzi kwenye shule za secondary mbalimbali. Lengo kuwajengea uwezo wanafunzi ili kuvumbuwa vipaji vyao na kuviendeleza baada ya kumaliza elimu ya secondary. Pia kuwafanya wanafunzi wajitolee katika kwa kupitia vipaji vyao kazi hii imeanza mwezi wa tatu mwaka2017 na kumalizika mwezi wa kumi .kwa kujumuisha shule 50 za secondary na shule 12 zimepata tuzo kati ya shule 50 .wakipata wazamini wa kutosha wataelekea mikoani Pia wameishukuru serikali kwa kuwaluusu kupeleka miradi hii mashuleni
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment