Thursday, 2 February 2023

HAMAD MUSA SALUM AVUTIA WATU KUNUNUA BIDHAA ZAO


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Sparx Hamad Musa Salum amesema watu wajitokeze kununua viatu vya Aina mbalimbali kwani nibei nafuu na imara.
 
Pia amesema wanampango WA kufungua maduka 20 DSM na mikoani .

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment