Jilbert Rema ni Meneja wa CHIBAKISMATI amesema yangu aanze kumsimamia msanii wake wameweza kupata mafanikio makubwa.
Mfano kufanya Miradi mbalimbali kwenda kuimba kwenye matamasha makubwa na ameweza kujitangaza kitaifa na kimataifa mpaka kupelekea Wizara ya Sanaa, Michezo na Utamaduni Chini ya Waziri mchengerwa kumpa mkopo ambao auna riba msanii CHIBAKISMATI.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment