Saturday, 4 February 2023

WAZIRI MCHENGERWA KUKUZA SEKTA YA SANAA


 Waziri wa Sanaa, Michezo na Utamaduni amewaakikishia watanzania kuwa sekta ya Sanaa Michezo na Utamaduni zitakuwa Kwa kiwango kikubwa kwani Wizara Yake inatekeleza maagizo na maelekezo ya Ràis Samia suluhu Hassan ambako Kwa sasas wizara imetoa mikopo ya Fedha isiyo na riba kwenye sekta mbalimbali za Sanaa.

Pia Wizara inakuja na vazi la taifa na mdundo wa taifa ,Waziri Mchengerwa ametoa Rai Kwa jamii kutowaficha na kuwafungia ndani watu wenye maitaji maalum wakiwemo wenye ulemavu  wa Aina zote kwani wanauwezo makubwa na Wizara inawaunga mkono.

Mfano Wizara ya Sanaa Michezo na Utamaduni kupitia serikali ya Tanzania imempamkopo usio na riba msanii mwenye ulemavu CHIBAKISMATI milioni 10 Fedha ya kitanzania.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment