Thursday, 9 February 2023

JESHI LA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI KIMETANGAZA UKAGUZI WA MAGARI


Kamishna mkuu msaidizi kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania RAMADHANI NG'ANZI amesema kuanzia tarehe 6/02/2023 wameanza ukaguzi wa magari makubwa na madogo pamoja na bajaji na pikipiki.

Lengo ni kudhibiti ajali pia amesema vyombo vya moto vitakavyo kaguliwa vitabandikwa stika mbele ya kioo cha gari ambako magari makubwa yatatozwa shilingi elfu saba, magari madogo Tsh 5000/= Bajaji na Pikipiki watatonzwa Ths 2000/= ametoa wito wakuwa vikosi vya usalama barabarani kutenga maeneo kwaajili ya ukaguzi wa vyombo hivi vya moto pia amewataka wenye vyombo vya moto kupeleka vyombo vyao vikaguliwe kwani ifikapo tarehe 11/03/2023 ndio mwisho wa ukaguzi hivyo sheria ya kukamata itatumika.







Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment