Thursday, 2 February 2023

MSTAIKI MEA WA JIJI LA DSM APONGEZA UZINDUZI WA DUKA LA VIATU


 Omary Kumbiramoto Mstaiki Mea wa Jiji la Dsm amepongeza uzinduzi wa Duka la Viatu liitwalo SPARX lililopo kata ya mchafukoge kwani Duka ililitasaidia watukupata ajira na Biashara zao  zinauzwa Kwa bei nafuu.

Habari picha na Ally Thabiti 

No comments:

Post a Comment