Thursday, 2 February 2023

TAASISI YA JAKAYA KIKWETE YA MOYO YAFANYA KAMBI YA SIKU MBILI


 Kaimu Mkurugenzi waTaasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete amesema kupitia madaktali wa India wameweza kutibu watu Moyo bila kufanya upasuaji wa kifua Kwa watanzania 12 ambako madaktali wa kitanzania wameweza kupata ujuzi ambako itasaidia kuokoa  pesa Kwa kiasi kikubwa.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment