Ali Kiba amesema Wizara ya Sanaa, Michezo na Utamaduni imefanya Jambo zuri na Jena Kwa kuwapa mikopo isiyo na riba wasabi kwani itasaidia Kwa kiasi kikubwa kufanya kazi zao Kwa ufanisi na ajira zitaongezeka nchini Tanzania.
Ali Kiba amesema kupitia taasisi Yake wataendelea kuwasaidia watu wenye maitaji maalum kiuchumi na kisanaa.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment