Saturday, 4 February 2023

JUKWAA LA WAARIRI LAIPONGEZA UNITED NATIONS TANZANIA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Waariri nchinitanzania ndugu Barile ameipongeza na kuishikuru United Nations Tanzania Kwa kuwawapa elimu ya utendaji kazi Kwa Waariri wa vyombo vya habari Tanzania.  na kupewa fursa ya ushirikiano kwenye nguzo4 za maendeleo ya dunia .

Ndugu Barile ameumba umoja wa mataifa kutoa elimu Kwa Waariri na Wanahabari katika kuelekea uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mtaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 .

Lengo wanahabari wakitanzania waandike habari sahihi za uchaguzi .

Habari picha na Ally Thabiti


 

No comments:

Post a Comment