Saturday, 4 February 2023

MKUU WA MKOA AWAPA BARAKA VIONGOZI WA MACHINGA NA BODABODA ZIARA YA RWANDA

 

Mkuu wa Mkoa wa DSM Amosi Makala amewataka viongozi wa Bodaboda ,Bajaji na Wamachinga wayatumie vizuri mafunzo wanayoenda kuyapata nchini Rwanda. 

Pia wachangamkie fursa za kibiashara ili wapanue Wigo mpana kwenye Biashara zao ambako itasaidia Kwa kiasi kikubwa kukuwa uchumi wa Tanzania na mtu mmojammoja.

Ameipongeza bank ya NMB Kwa kufadhili mafunzo haya kama wanavyoonekana kwenye picha ya pamoja .

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment