Muwakilishi Mkaazi wa United Nations Tanzania amekutana wa waariri wa vyombo vya habari pamoja na wanahabari Lengo ni kuwaeleza nguzo 4 za Mipango ya U.N.kwani amesema nguzo. hizi za maendeleo ili zikamilike zinaitaji ushirikiano wa vyombo vya habari nchinitanzania.
Ametoa wito Kwa wanahabari na waariri wafanye kazi Kwa bidii na kushirikiana .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment