Picha: Rais Samia amewasili Addis Ababa nchini Ethiopia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassanamewasili Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
No comments:
Post a Comment