Muhadhiri Msaidizi na Mratibu Msaidizi wa kutoa Elimu kwa Umma na Mshauri Mkuu wa Shule ya Sayansi akuwa na technorojia Changoma Frances amesema tafiti na bunifu wanazozifanya katika Chuo cha Uvuvi Kunduchi .
Lengo ni kuwasaidia wavuvi na wakulima wa bahari kutumia dhana bora za kisasa ili waweze kujikwamua kiuchumi amesema haya kwenye maonyesho ya wiki ya tafiti na bunifu Chuo Kikuu cha Mlimani Dsm.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment