Pia Waziri ameahidi changamoto zilizo wasilishwa kwake za kisera na kisheria zinazousu maswala ya Madini Wizara itafanyia kazi.
Changamoto ya mitaji,tafiti na maswala ya mikopo kwa wachimba madini serikali inaamini ni kikwazo kikubwa ivyo watafanyia kazi ili kuweza kutatua matatizo haya .
Ametoa wito kwa watanzania kulinda migodi yetu na amewataka wawekezaji wa migodi kutowanyanyasa watanzania .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment