Mkuu wa Jeshi la Polisi Usalama Barabarani Kamanda Wilbrodi Mutafungwa amewataka Madereva wanaoebdesha maroli kupelekea nchi jirani ikiwemo Kongo,burundi, rwanda ,Zambia,Kenya na nchi zinginezo waachane na vitendo vya ulevi,uvujaji wa banger,matumizi ya milungi pamoja na uzinzi kwani vitendo ivi vinapelekea na kuongezeka na kukithili ajali za Barabarani.
Ambako hivi sasa kwa mwaka 2021 ajali80 za maroli zimetokea vifo vipatavyo47 na majelui 66 ndio maana Jeshi la Polisi Usalama Barabarani limeamua kutoa elimu na kuwajengea uwelewa Madereva wa Maroli kwaajili ya kudhibiti ajali.
Kamanda Mutafungwa amesema atuwa kali zitachukuliwa kwa Madereva wa Maroli watakaovunja na kukiuka sheria,kanuni na taratibu za Usalama Barabarani.
Amesema mbinu wanazo zitumia za kuwakwepa maaskali wa Barabarani wamezibaini amesema haya kwenye eneo la bandari kavu Dsm alipokutana na Madereva wa Maroli
Habari picha na Ally Thabiti you
No comments:
Post a Comment