Jeradi Kusaya Kamishna Jenerali wa Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya amewataka watu nchini tanzania kutoa taarifa pindi wanapo baini kuinngizwa kwa dawa za kulevya nchini tanzania .
Amesema usiku unazingatiwa kwa watoa taarifa Tume imejipanga kikamilifu katika kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya amesema haya alipotoabtaarifa za kukamatwa raia wa Irani mkoani Lindi kwenye bahari ya Indi wakiwa na kilo 859 za dawa za kulevya .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment