Ally Thabiti ni Kijana Asiye Ona ambae ameshiriki kwenye mafunzo ya tiketi mtandaoni . amepongeza kwa kupata mafunzo haya kwani yamemjengea Uwezo na uelewa na mfumo wa tiketi mtandaoni .
Amesema mafunzo haya atayatumia vizuri na kwenda kuwaelimisha na kundi la wenye Ulemavu na wasio na Ulemavu.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment