Raisi wa Wakunga Tanzania Teddy Mwanga ameitaka serikali kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa wakunga . KWA kuwapa vifaa vya kutosha, mafunzo ya mala kwa mala ,maslai bora pamoja na kuwapa makazina marazi bora na salama .
Hiiitaleta chachi na hadhi kwa wakunga kuipenda kazi hii na kutoa huduma kwa moyo mmoja kwani mama mjamzito anapoudumiwa na mkunga aliyekuwa na Elimu maisha yake na mtoto yatakuwa salama wakati wa kujifunguwa .
Amesema haya siku ya wakunga ambako uazimishwa kila ifikapo target mwezi 5 kila mwaka duniani kote.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment