Mohamed O .Mchengerwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora amewataka wale wote wanaochezea Mifumo ya serikali waache mala moja kwani hatua kali zitachukuliwa dhidi yao .
Pia taasisi za serikali ambazo zina mpango wa kujiondoa kwenye mfumo wa serikali zitakuwa zinakiuka sheria namba10 ya mwaka 2019 na kanuni zake za mwaka 2020.
Kufanya hivi kwa kujitoa kwao ni kitendo cha kuujumu uchumi .Mohamed O Mchengerwa Ameupongeza uongozi na watumishi wa EGA kwa kutengeneza Mifumo Imara,madhubuti na yenye kuaminika .
Kwani Mifumo yao inasaidia serikali katika kudhibiti upotevu wa mapato na uvujaji wa taarifa .ametoa wito kwa taasisi za serikali na wadau wengine waendelee kutumia Mifumo ya serikali ilioandaliwa na EGA .
Nawanao taka kuanzisha Mifumo yao watoe taarifa EGA .amesema haya Makao Makuu ya Ofisi za EGA jijini Dsm
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment