Mwenyekiti wa Chama cha wasio Ona amesema Elimu ya kiketi mtandaoni imekuja wakati muafaka kwani mafunzo haya yatawawezesha wasioona kwa kiasi kikubwa . Kuepuka usumbufu ,kuingia gharama wakati wa kukata tiketi,wizi wa mizito yao na kujiakikishia usalama wa safari zao .
Kipngoamewataka watu wenye Ulemavu na wasio na Ulemavu kupokea na kuitumia mfumo huu wa tiketi mtandao kwa maslai yao,serikali na wamiliki wa mabasi.
Ameishukuru LATRA CCC kwa kuwashirikisha watu wenye Ulemavu juu ya mfumo huu wa tiketi mtandaoni matharani kwa kutoa elimu na vipeperushi kwa wasio Ona .amesema haya wilaya ya Ubungo kwenye standi ya Magufuli jijini Dsm
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment