Dokta Binngwa wa Meno Fraviana Nyatu wa Chuo Kikuu cha Afya shirikishi Mbeya.amesema wamefanya upasuaji kwa kina mama na tafiti hizi zimesaidia kuokoa na kusaidia kupunguza vifo vya Mama na mtoto wakati wa kujifunguwa .
Kuna tafiti za kutambua milipuko ya magonjwa nazo zinatumika katika kunusulu maisha ya watu.pia wamefanya tafiti za kutambua vina 7 vya binadamu .
Lengo kutambua sikoseli hii itasaidia jamii kuondokana na dhana potofu kuwa sikoseli aitokani na Ushilikina .
Nawanafanya Tafiti za Meno Chuo Kikuu cha Afya shirikishi cha Mbeya kinawataka wadau na serikali waunge mkono tafiti wanazo fanya amesema haya kwenye jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment