Chama cha wafanya Biashara Wanawake tanzania (TWCC)imedhamilia kufanya kazi na serikali ya Mhe Samia kwa kuhakikisha Wanawake wanashiriki kikamilifu katika fursa za kibiashara na uwekezaji.
Bi Mercy Sila amesema mchango wa wawekezaji ni mkubwa ,kwani Viwanda vyao hununua mali ghafi kutoka kwa wazalishaji wa ndani wakiwemo Wanawake ambao ni zaidi ya asilimia 60 kwenye sekta ya kilimo.
Mhe raisameahinisha vipaumbele vya maboresho katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo,nishati,maji,Madini na ujenzi . Zaidi ya asilimia 54 ya wafanya Biashara tanzania ni Wanawake.
Pia mwenyekiti wa TWCC bi Mercy Sila pamoja na bodiyake wamempongeza mhe rais kwa ziara alioifanya nchi jirani ya Kenya ni ziara ambayo imeleta matumaini mapya katika kuboresha uhuaiano wa nchi mbili hasa katika kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuri zao bila vikwazo vyovyote katika jumuiya ya Afrika Mashariki.
Tanzania ina mipango Mungu na nchi ya Kenya na zaidi ya asilimia 75 ya Biashara za mipaka zinafanywa na Wanawake.
Wanawake hawa wafanya Biashara ndogondogo na hasa kukuza mazao yao nchi jirani ambayo ni Kenya ni nchi mojawapo . hivyo TWCc wamefarijika kuona hatua alipichukua rais Samia kuhakikisha nchi yetu unajuwa na Mausiano mazuri na nchi jirani kwa ustawi wa uahirikiano pamoja na Maendeleo ya jumuiya yetu.
Bi Mercy ameahidi uahirikiano kipindi chote cha serikali ya rais SAMIA.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment