Wizara ya Uwekezaji inaweka mazingira rafiki na wezeshi kwa yeyote atakae taka kuwekeza tanzania .amewataka wafanyabiashara waqe na umoja na wasitoe taarifa za uongo ,na watumishi wa TIC wasiwe qarasimu kwa wataotaka kuwekeza nchini tanzania.
William Olenasha amesema Lengo la rais Samia Suluhu Hasani kuongeza kasi ya Uwekezaji ili akira zipatikane kwa wingi,kipato cha mtu mmoja mmoja kiongezeke na uchumi wa tanzania ikue kwa kasi kubwa zaidi
Ndio maana Wizara imefanya ziara kwenye Kituo cha Uwekezaji tanzania ili watambue wajibu wao na majukumu yao kwa taifa la tanzania kakika kuwavutia wawekezaji Amesema haya Makao Makuu ya Kituo cha Uwekezaji tanzania
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment