Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dsm wamemtaka majukumu mema na kumfungulia milango ya Baraka Mkuu wa Mkoa wa Dsm.
Mwenyekiti wa Wazee Mzee Mkali amesema wapo tayari kufanya kazi na Amosi Makala na wamempokea kama inavyoonekana pichani kishito kwake na Mkuu wa Mkoa wa Dsm Amosi Makala.
Habari picha Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment