Katibu Mtendaji wa Baraza la LATRA Deo Ngowi amesema wameamua kuwapa Elimu ya namna ya kukata tiketi mtandaoni watu wenye Ulemavu wakutokuona .
Lengo kundi hili lisiachwe nyuma Kutokana na mabadiliko ya mfumo wa kukata tiketi mtandaoni .
Pia wamewapa vipeperushi vya nukta nundu ili waendelee kujifunza zaidi na wakatoe Elimu kwa wengine. am edema haya kwenye standi ya Magufuli mbezi jijini Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment