Mkurugenzi wa Tbs Dr Yusufu Othumani Ngenya amesema mfumo waliouzinduwa una faida kubwa na nyingi ambako utaondoa gharama za kuangalia namna Tbs inavyoendeshwa na upatikanaji wa vibali .
Pia watapata mafunzo mbalimbali kutoka Tbs kupitia mfumo huu ivyo amewataka watu kutumia mfumo huu kwaajili ya maslai yao mapana ya kiuchumi na kimaendeleo .
Pia ameipongeza Trade Mark kwa ubunifu wao .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment