Lengo wake kukuza na kutangaza bidhaa zao kupitia kwenye taasisi zao ivyo watu wenye Ulemavu wa sina mbalimbali watakuwa na banda lao maalum kwaajili ya bidhaa zao .
Pia atakuwepo fundi asieona mshona nguo Abdullah Ali Nyangalio uku Wasanii mbalimbali watakuwepo kwaajili ya kuonyesha bidhaa zao pamoja na vipaji vyao .
Kiingilio kwa mtoto sh.1000 na mkubwa 3000 fedha ya Kitanzania .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment