Meneja wa Meli wa TASAC amewataka watu wawe wazarendo na kazi wanazozifanya TASAC.
Kwani TASAC imeondoa tozo 7 pia wanashirikisha wadau kwa mabadiliko yoyote ya kisheria na kikanuni ,pia wanatoa Elimu yakuongeza uwelewa wa kazi za TASAC kwa kutumia vyombo vya habari .
TASAC imefungua milango ya kukosolewa ili huduma ziwe bora na mapato yaongezeke,amesema haya kwenye semina ya Wanahabari na Wahariri Mkoa wa Dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment