Msanii wa Kike wa Kizazi Jipya cha Bongo Freva NANDY amesema ameamuwa kuanzisha tuwa yake kuanzia Mkoa wa Kigoma na mikoa mingine nchini tanzania .
Pia ataenda nchi ya Kenya kwenye mji wa Nairobi pamoja na Mombasa, Lengo lake kuweza kuwafikia Mashariki na kuitafuta fursa mbalimbali za kibiashara.
pamoja na kutoa elimu ,burudani na mafunzo kwa jamii amesema haya jiji Dsm kauli mbinu inasema WATAKAA TUUU ametoa rai aungwe mkono na watu wote .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment