Jofrey Mwambe Waziri wa Uwekezaji ametoa siku 14 kwa wawekezaji wote ndani ya nchi na nje ya nchi ambao walipata vikwazo walivyotaka kuwekeza nchini tanzania.
Ivyo Wizara yake ya Uwekezaji imewapa fursa ya kuandikia barua ilu waweze kitatuliwa changamoto zao ili waweze kuwekeza tanzania .
Jofrey Mwambe amewataka watumishi wa TIC kutoa omba wala kupokea rushwa,pia uchache wa watumishi wa TIC unafanyika kazi. huku akitaka Ofisi zote za kanda za TIC zifunguliwe.
Swala la Mabadiliko ya Sera na Sheria za Uwekezaji zinafanyiwa kazi Waziri wa Uwekezaji Jofrey Mwambe amesema haya alipotembea Makao Makuu ya Kituo cha Uwekezaji TIC jijini Dsm.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment