Monday, 28 February 2022

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWATAKA WANAHABARI KUZINGATIA UWEREDI

 Jumanne Sagini Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani amewataka wanahabari wazingatie Uweredi wanapo andika na kutangaza habari za barabarani lengo kuelimisha Jamii namna ya matumizi Bora ya barabara na kuandika takkwimu sahihi. Ili kuepusha mkanganyiko na kuondoa Ofu Kwa jamii.

Ametoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kutumia fimbo nyeupe na watu WA Dati kuendelea kuzingatia mazingira wezeshi na rafiki Kwa watu wenye Ulemavu. Pia swala la maandishi ya nukta nundu kwaajili ya watu wasio Ona Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini amesema amelibeba na atalifanyia kazi.

Habari na Ally Thabiti Mbungo

BI AISHA AITAKA JAMII KUBADILIKA


 Aisha Mtwangi Mtaalam wa Mawasilihano na Mwanaharakati wa ya Uzazi na Malezi Bora  amewataka watanzania na wasio watanzania kuzingatia Mafunzo ya vitabu vya dini zao ,Lengo kuondokana na ndoa za utotoni,kupinga vipigo Kwa Akina mama na kuzingatia Afya ya Uzazi.

Mwanaharakati Aisha Mtwangi amesema Malezi Bora ni muhimu kwani watu wataondokana na ukatoli mbalimbali .amewataka Wanawake wajiendeleze kimasomo ili wawe na mafanikio na Maendeleo.

Habari picha na Ally Thabiti

JESHI LA POLICI LAWATIA MBALONI WEZI WA MATANDAONI


 Mkuu wa  Jeshi la Police Kanda Maalum Dsm Kamanda Jumanne Mulilo amesema wamewakamata watu Kimi na mbili wakiwa na raini za simu za Aina mbalimbali na nyaraka tofauti tofauti pamoja na SIM ambako watuumiwaawa waliokuwa wanawaibia watu pesa Kwa kujifanya wao ni mawakala wa mitandao ya SIM .

Amewataka watu walioibiwa waende kituo cha ostabei police kwaajili ya taarifa mbalimbali pia Jeshi la Police limewakamata Wakongo Mani 2ambao waliiba kiasi cha Fedha za kimarekani Dola elfu tatu  na kompyuta mpakato nne pamoja na  ereni .

Kamanda Jumanne Mulilo amewatoa OFU wageni kuwa Dsm nishwari . Kwa upande mwingine Jeshi la Police limeokoa magari mawili yaliokuwa yameibiwa  

Na limemtial mbaloni Mkazi wa chamanzi Kwa kumpiga mtoto.

Habari picha na Ally Thabiti

MBUNGE TUMAIMI MAGESSA ABAINISHA MIKAKATI


 Mbunge Tumaimi  Magessa amesema Katika Jimbo lake wataakikisha wanaweka mazingira wezeshi Kwa upande wa miundombinu ya barabara na umeme  kwaajili ya wawekezaji wa Madini na wengineo.

Mbunge Tumaimi Magessa amewaakikishia wananchi wa Jimbo la Busanda Fedha zinazopatikana kwenye Madini zitaendelea kutatuwa changaoto

Wednesday, 23 February 2022

WAZIRI MKUU AIPA TANO WIZARA YA MADINI

Waziri Mkuu Majaliwa kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini Kwa kuweza kutatuwa Changamoto za wachimbaji wa Madini na kuweka mazingira rafiki na wezeshi. Pia amewatoa hofu watu WA mabenk wawakopeshe wachimbaji wa Madini.

Nae Kwa upande wake Waziri wa Madini dr Dotto Biteko amewaakikishia wachimba Madini mazingira a uwekezaji ni rafiki Tanzania na changamoto zinazowakabili wachimbaji wa Madini zimefanyiwa kazi na zingine zinafanyiwa kazi.

Habari na Ally

MWENYEKITI WA FEMATA AWASILISHA KILIO CHA WACHIMBA MADINI KWA MAKAMU WA RAIS


 Mwenyekiti wa Chama cha Wachimba Madini  Tanzania (FEMATA)  John Bina amesema wingi wa tozo imekuwa kilio Kwa wachimba Madini, ukosefu wa mitaji ,mabenk kuto waamini,ukosefu wa kisasa WA uchimbaji Madini.

John Bina ameipongeza Wizara ya  Madini Kwa kuweza kutatuwa kelo za sekta ya Madini ambako zilikuwa21 na sasa zimebaki chache.

Habari picha na Ally Thabiti

MAKAMU WA RAIS ATOA MAAGIZO SITA

Makamu wa rais Philip Mpango amewataka Wadau wa sekta ya Madini kutekelezwa takwa la kisheria la kutunza mazingira,kutowaajili watoto kwenye uchimbaji wa Madini , mabengi watoe mikopo Kwa wachimbaji Madini ,kujenga miundombinu na upatikanaji wa umeme.

Amewataka wawekezaji kwenye sekta ya Madini Kutoa ajira Kwa watanzania, Makamu wa rais amesema changamoto zinazowakabili wachimba Madini watazifanyia KAZI.

Habari na Ally Thabiti

Tuesday, 22 February 2022

KAIMU MKURUGENZI APONGEZA MKATABA WA AFCFTA


 Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda , Biashara na uwekezaji ameipongeza mkataba wa AFCFTA kwani inasaidia Kwa kiasi kikubwa Ikukuza biashara na upatikanaji wa Masoko.

Habari picha na Ally Thabiti

MACHINGA MKOA WA DSM WAJA NA SACOS


 Mwenyekiti wa Machinga Mkoa WA DSM amesema Lengo la kuja na SACOS kwaajili ya kutunza Fedha na Kutoa mikopo Kwa Machinga na ametoa wito Kwa mikoa mingine waanzishe SACOS  kwani zina tija 

Habari picha na Ally Thabiti

WANAWAKE WA MADINI YA VIWANDANI WAUNGWE MKONO

 

Mwenyekiti wa Chama cha Madini ya Viwandani Devota S.Kioko amewata wadau wa Viwanda waweze kununua Madini Yao ya Viwandani Kwani yana ubora wa kiasi kikubwa. Pia amesema wanaoitaji kuchimbiwa Madini ya Viwandani wanakaribishwa na Kwa mawasilihano zaidi 0753 034610 .

Habari picha na Victoria Stanslaus

Tuesday, 15 February 2022

MWEKEZAJI AFUNGUWA MILANGO KWA WATU WENYE ULEMAVU


Avi Postelnik Mkurugenzi wa AIE HOLDING LIMITED TZ amewataka watu wenye Ulemavu wajiunge kwenye miradi yake uko bagamoyo na maeneo mengineyo kwani watapata ajira .

Ametoa wito Kwa wawekezaji duniani kote wajitokeze Kwa wingi kwaajili ya kuwekeza tanzania kwani mazingira ni rafiki Kwa wawekezaji,pia amepongeza mkataba wa AFCFTA.

Habari picha na Ally Thabiti

Monday, 14 February 2022

TPSF YAWATOA OFU WAFANYABIASHARA

Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa TPSF amesema mkataba wa AFCFTA ni mzuri na una tija kubwa kwa wafanyabiashara wa kitanzania kwani utawasaidia kupata Masoko Kitaifa na Kimataifa .

Habari picha na Ally Thabiti

 

MWAKIRISHI MKAZI AHAIDI KUONGEZA UWELEWA WA MKATABA WA AFCFTA


 Mwakirishi Mkazi Monika amesema Wanawajengea Uwelewa watanzania kuusu mkataba wa AFCFTA Lengo wapanue wigo wa kupata masoko ya kibiashara. 

Habari picha na Ally Thabiti

OFISI YA WAZIRI MKUU YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA


 Mchumi Novatus Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu amewataka watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali ili waweze kujipatia vipato na kukuza uchumi wa nchi. Pia Mpango wa AFCFTA Wautumie vizuri.

Habari picha na Ally Thabiti

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA UWEKEZAJI,VIWANDA NA BIASHARA AIPONGEZA MPANGO WA AFCFTA


 Naibu Waziri wa Viwanda ,Biashara na UWEKEZAJI Exaud Silaoneka Kigahe (MB) amesema Mpango wa AFCFTA itasaidia Kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wa kitanzania kupata Masoko Kimataifa,  pia itaondoa vikwazo vya biashara Kwa nchi wanachama. 

 Kwani ajira zitaongezeka uchumi wa tanzania utakuwa Kwa Kasi Naibu Waziri ametoa wito mpango huu ufike kwenye sekta zote.

Habari picha na Ally Thabiti

TIMU YA BODABODA YA TEMEKE PILE YAONESHA UBABE


 Timu ya Mpira wa Miguu ya Bodaboda ya Temeke pile imeweza kunyakuwa zawadi ya Bodaboda Baada ya kuzishinda timu zingine za mkoa wa DSM kwenye week ya usalama barabarani Kama wanavyoonekana pichani.

Habari picha na Ally Thabiti

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AKABIDHIWA CHETI


 Mkuu waWilaya ya Kinondoni Godwin Ggondwe amewataka madereva nchini kuzingatia Alama za barabarani ,pia amesema sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973 Kwa kushirikiana na wabunge wataakikisha wanaifanyia malekebisho.

Habari picha na Ally Thabiti

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AIPONGEZA MAPAMBANO


 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Ggondwe ameipongeza kikosi cha Usalama barabarani jijini Dsm Kwa Kutoa elimu na Mafunzo ya kuzingatia na kutii sheria ,kanuni na taratibu za usalama barabarani Kwa madereva wote pamoja na watembea Kwa miguu.

Ameipongeza mwenyekiti wa bodaboda na bajaji wa Mkoa WA DSM Kwa juhudi na jitihada anazozifanya Kwa wanachama wake namna ya kutii sheria za usalama barabarani.

 amesema changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda na bajaji serikali inazifanyia kazi amesema haya kilele cha kufunga week ya usalama barabarani Kama inavyoonekana pichani akikabidhi ZAWADI ya pikipiki Kwa time ya Temeke pile ambayo iliibuka kuwa washindi.

Habari picha na Ally Thabiti

MICHAEL ALFAYO AYO AIPONGEZA FALSAFA YA KAIZEN


 A to Z Textile Mills Ltd Michael Alfayo Ayo  production Manager amesema mradi wa KAIZEN umesaidia Kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji Mali  na wameondokana na upotevu wa Mali ghafi.

Habari picha na Ally Thabiti

DR MARIHAM AFICHUA SIRI YA KAIZEN


 Dr Mariham Tambwe  Muhadhiri wa Chio cha CBE na Mkufunzi wa KAIZEN amesema mradi wa KAIZEN umesaidia Kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji viwandani .

ameiomba Serikali  na JICA waweze kuvifikia Viwanda vingi Kwani Viwanda 137 vimefikiwa na mradi wa KAIZEN .

Habari picha na Ally Thabiti

KATIBU MKUU ZAINABU CHAULA AJA NA MIKAKATI MIZITO


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto, Wanawake na Makundi Maalum Zainabu Chaula amewataka viongozi WA serikali za Mitaa,Kata na Halmashauri taarifa za miradi mbalimbali ziwe wazi .

Pia Watumie Tehama kwaajili ya kuwapasha habari watu ametoa with Kwa watanzania Watumie Tehama kwaajili ya kutangaza bidhaa zao na waweze kujiajili.

Habari picha na Ally Thabiti

TASI YAIPONGEZA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM


 Mjumbe wa TASI Wilaya ya Temeke Salehe  ameipongeza Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee,Watoto,Wanawake na Makundi Maalum Kwa kuja na Mpango wa matumizi ya Tehama Kwa viongozi wa serikali Kwa ngazi ya Chini kwani wananchi tutapata taarifa Kwa wakati na kufaam miradi ya serikali Kwa ngazi ya mitaa hadi Kata. 

Pia Tehama itasaidia watu kupata ajira na wajasiliamali kutangaza bidhaa zao.

Habari picha  na Ally Thabiti

Wednesday, 9 February 2022

ARIFU AMEITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA BAKWATA NA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SALUHU HASSAN


 Arifu Mkurugenzi wa Tiba na Dawa Bakwata amewataka watu Kutoa michango mbalimbali ikiwemo damu ili kuokoa vifo vya mamawajawazito na wengine wenye uhitaji wa damu.

Ameipongeza rais Samia Suluhu Hassan Kwa uadilifu,uaminifu na utendaji wake nzuri wa kazi amewataka watu wamuunge mkono na kushirikiana nae bega Kwa bega . 

Amesema haya wakati alitoa misaada mbalimbali Kwa wakina mama,watu wenye Ulemavu na makundi maalum  ambako jumla ya vitu hivi vinathamaniya pesa ya kitanzania milioni 80.

Habari picha na Ally Thabiti

SHUJAA WA SARATANI AIPONGEZA OCEAN ROAD


 Hadija  Shujaa wa Saratani ameipongeza Ocean Road Kwa juhudi na jitihada wanazozifanya za kuwahudumia wagonjwa wa Saratani .

Habari picha na Ally Thabiti

NAIBU KATIBU MKUU WA RAOTA ABAINISHA MIKAKATI MIZITO

Dr Frederick Ludovick Naibu Katibu Mkuu wa RAOTA amesema moja ya mikakati Yao Kutoa elimu Kwa jamii kuusu maswala ya Saratani pia watafanya jitihada za makusudi kuwafikia watu wenye Ulemavu.

Habari picha na Ally Thabiti
 

MKURUGENZI WA HUDUMA YA TIBA NA KINGA YA MIONZI ATOA NENO


 Mkurugenzi  Dr Crispin Karesa wa Huduma ya Tiba na Mionzi Taasisi ya Saratani Ocean Road amesema elimu ya Saratani iweze kuwafikia watu wenye Ulemavu kwani ni miongoni mwa makundi ambayo yanapata hathari ya Saratani  Kwa kiasi kikubwa lakini changamoto wanazokitana nazo kukosekana Kwa maandishi ya nukta nundu Kwa wasio Ona .

Ivyo ametoa rai Kwa wa wadau mbalimbali kushirikiana na serikali katika kuwafikia watu wenye Ulemavu ili wapate elimu bora na namna ya kujilinda na Saratani na jinsi ya kuchukuwa atuwa watakaogundulika na Saratani.

Dr Crispin Karesa amesema asilimia 34 ni Saratani ya shingo ya kizazi watu Ndio inayowasumbuwa Kwa kiasi kikubwa.

Habari picha na Ally Thabiti

CATHERENE KUZIFIKIA SHULE 50


 Mkurugenzi wa Afrans Child Project Catherene amesema watazifikia shule za msingi na secondary  kwenye mikoa ya  Katavi,Dodoma,Kigoma,Mara,Kilimanjaro na mikoa  mingineyo Lengo  Kutoka elimu na mafunzo ya matumizi ya teknolojia.

Habari picha na Ally Thabiti

JIJI LADSM LATENGA BILIONI 35


 Diwani wa Kata ya Buyuni Othman Maembe amesema Jiji la Dsm kimetengwa kiasi cha bilioni 35 kwenye bajeti ya mwaka 2022 /2023 Lengo kuboresha na kukuza sekta ya Elim,Afya,Maji,Miundombinu na sekta zinginezo

Diwani wa Kata ya Buyuni Othman Maembe amewataka watu kulipa Kodi kwaajili ya maendeleo.

Habari picha na Ally Thabiti

FALSAFA YA KAIZEN KUKUZA UCHUMI WA TANZANIA


 Lugano Wilson,LIC.(Eng.),Ph.D.(Energy) Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda. amesema falsafa ya KAIZEN inasaidia Kwa kiasi kikubwa kukuwa Kwa uchumi wa tanzania ,kwani mradi huu ulipoanza kutekelezwa nchini tanzania umewezesha sekta ya Viwanda kukuwa na ufanisi wa uzalishaji wa bidhaa kwenye Viwanda imekuwa wenye ubora .

Ivyo amelipongeza shirika la JICA Kwa kuja na falsafa hii nchini tanzania kwani imeleta mageuzi na Maendeleo ya Viwanda nchini tanzania, swala la kushirikisha makundi maalum wakiwemo watu wenye Ulemavu wa aina mbalimbali limezingatiwa katika falsafa ya KAIZEN.

Habari picha na Ally Thabiti

Tuesday, 1 February 2022

MWENYEKITI WA ACT WAZARENDO BABU JUMA DUNI HAJI KUMVAA RAIS SAMIA


 Babu Juma Duni  Haji Mwenyekiti wa Chama cha ACT WAZARENDO ambae amepata Kura 339 amesema Kwa nafasi aliopata ataakikisha anaona na rais wa Tanzania bara na wa Zanzibar Lengo kujadili namna ya kukuza na kuimarisha demokrasia hapa nchini.

Habari picha na Ally Thabiti

OTHMANI MASUDI OTHMANI AWATOA OFU WATANZANIA


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazarendo OTHMANI MASUDI OTHMANI amesema utendaji wake wa   kazindani ya serikali ya Zanzibar kupitia JNU ni mkubwa na wenye ufanisi na umeleta mabadiliko makubwa katika Nyanja ya kiuchumi na kisiasa ndani ya mwaka mmoja tangu ateuliwe, amewataka wananchi kukiunga mkono Chama cha ACT WAZARENDO.

Habari picha na Ally Thabiti


NCCR MAGEUZI KUKATA RUFAA KWENYE KESI YA KIKATIBA


 Mwenyekiti wa Chama cha NCCR MAGEUZI amesema watakata rufaa juu ya kesi yao ya kikatiba Kwa kujiudhulu Spika wa Bunge Job Ndugai.

Habari picha na Ally Thabiti

 

SHEE MATAKA ATAKA MIFUMO KUTENDA HAKI


 Shee Mataka amesema Ili  Mauaji yasiwepo ni vyema mahakama kutenda haki pia Viongozi wa dini Waache kutumia dini sehemu ya kujipatia kipato, pia amewataka wananchi kutimiza wajibu wao.

Habari picha na Ally Thabiti

VIONGOZI WA KIDINI WAPAZA SAUTI JUU YA MAUAJI


 Padri Kisale amewataka Watanzania Waache Mala moja vitendo vya mauaji nchini Tanzania pia amewataka Viongozi wa Kidini Kutoka elimu Kwa jamii namna ya kudumisha na kulinda Amani na Uhuru wetu.

Habari picha na Ally Thabiti

SLIM ATAKA DIPLOMASIA YA UCHUMI IPEWE MKAZO


 Slim amezitaka Serikali ya Tanzania Iweke Mkazo Mkubwa na Kuongeza nguvu katika DIPLOMASIA ya uchumi kwani italeta tija kubwa katika kukuwa uchumi wa tanzania.

Habari picha na Ally Thabiti


SHARIFU AIPAISHA ZANZIBAR KIMATAIFA


 Sharifu Ziara walioenda Nchini Italy Wameweza Kuitangaza Zanzibar na wameweza kufanikisha kupata miradi miwili .

Habari picha na Ally Thabiti

SAEED A.BAKHRESSA AIPONGEZA WIZARA YA MAMBO YA NJE


 Saeed A. Bakhressa Project Director Union Property Developers ameipongeza Wizara ya Mambo ya Nje Kwa kuweza kuwatafutia fursa wafanya biashara wa kitanzania kwani wameweza kupata Masoko ya kuaminika nchini Italy Kwa ziara walioenda.

Habari picha na Ally Thabiti

SWAHIBA AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA


 Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Africa Mashariki na Ulaya Barozi Swahiba Mndeme amesema Safari walioenda wafanya biashara nchi ya Italy imekuwa yenye mafanikio makubwa .

Amewataka wafanya biashara wa kitanzania kuchangamkia fursa  mbalimbali Lengo Kuongeza wigo mpana kwaajili ya kupata Masoko na wateja .

Habari picha na Ally Thabiti