Mosses Mwangata Afsa Miradi wa VIPARUMA Kutoka Mkoa wa Rukwa amesema kampeni iliyozinduliwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ya kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia Kwa watoto wa kike ni mzuri kwani itasaidia na kuwezesha watu kutofanya maswala ya ukatili wa kijinsia Kwa watoto wa kike na wengineo.
Mosses Mwangata amesema tassisiil Yao ya VIPARUMA ya mkoani Rukwa itatoa elim Kwa watu kutofanya ukatili Kwa watoto na watu wengine.pia ameshukuru na kuipongeza WILDAF Kwa uzinduzi walio Fanya.
Habari picha na Ally Thabiti