Mkurugenzi Mtendaji Mkuu Brela Godfrey Nyaiza amesema brela wanafanya kazi kubwa ya kutangaza na kutafuta masoko kazi za wabunifu lengo wabunifu waweze kujikwamuwa kiuchumi na waweze kujiajili na waweze kujiajili wenyewe, ndio maana kwenye maazimisho ya wiki milki bunifu brela impinging makubaliano na chuo kikuu Mzumbe,chuo kikuu TIA, Kosota,chuo kikuu Mlimani na taasisi ya viwatilifu lengo wabunifu wafikiwe kwa uraisi na wapewembinu mbalimbali za kazi zao.
Amesema haya jijini Dar es salaam kwenyeaazimisho ya wiki ya milki bunifu ambako kila mwaka uazimishwa kila ifikapo tarehe26 mwezi wa 4 .
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment