KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA AIMIZA WATANZANIA KUFANYA MAZOEZI
Philip Bai Katibu Mkuu Kamati ya Olimpiki tanzania amewataka watanzania kushiriki kwenye mbio mbalimbali kwani zina umuhimu katika miili yao, amewataka waandaaji wa mbio za riadha kuwashirikisha watu wenye ulemavu.
No comments:
Post a Comment