Sister Tiodora amewapongeza Wanafunzi waliomaliza Kidato cha sita Shule ya Sekondary Sent Joseph amewataka kuendeleza nidhamu na elimu walioipata wakaitumie vizuri katika jamii. Pia amewataka wazazi na walezi wawapeleke shule watoto wa kike kwani wote wana haki sawa.
Sister Tiodora ametoa wito kwa jamii kutowafungia ndani watoto wenye ulemavu na badala yake wawapeleke shule na kuwapa fursa mbalimbali.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment