Loy Mhando Mkurugenzi wa Milki bunifu Brela amesema kupitia mkataba wa marakeshi inayozungumzia maswala ya kujumuisha watu wenye ulemavu namna ya kupata taarifa kwaupande wao brela kupitia milki bunifu kwenye shughuri mbalimbali ikiwemo utoaji wa elimu na wataweza kuwafikia watu wenye ulemavu wa aina zote .
Kwa wenye uziwi watatumia wataalamu wa rugha za alama ili na wao waweze kupata taarifa na kufaidika na milki bunifu,kwa wasioona brela inamikakati yakuweza kuweka maandishi ya nukta nundu ili na wao waweze kupata taarifa mbalimbali na kushiliki kikamilifu kwenye milki bunifu kwa ngazi zote.
Amesema haya jijini dar es salaam kwenye maazimisho ya siku milki bunifu ambako kila mwaka ufanyika tarehe 26/4 Duncan kote.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment