Mkurugenzi wa Uvuvi Prof Mohammed Shekh Kutoka Wizara ya Uvuvi na Mifugo amesema katika wavuvi wadogo ambao mkutano wa kimataifa utafanyika tarehe 5/6/2024 jijini dar es salaam ni muhimu sana kwani utasaidia wavuvi hawa kupata fursa mbalimbali ,Swala la kuwashirikisha na kuwafikia watu wenye ulemavu kwenye sekta ya uvuvi ni muhimu na lina tija kubwa hivyo wizara ya uvuvi na mifugo wamelibeba na watalifanyia kazi amesema haya jijini dar es salaam nilipofanya nae mahojiano.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment