Esta Mambali wa Wizara ya Afya amesema katika kukabiliana na maswala ya afya na mazingira wizara ya afya inatekeleza kwa vitendo jitihada na juhudi za rais Dr Samia kwa kufanya miradi mbalimbali ya kuondoa ualibifu wa mazingira kwa kuimiza wananchi matumizi ya nishati safi ya kupikia ambako wizara ya afya imeandaa machapisho mbalimbali pamoja na utoaji wa elimu kwa wananchi na watumishi wa wizara ya afya namna ya kuzingatia utunzaji wa mazingira ambko itasaidia kwa kiasi kikubwa kuondokana na mabadiliko ya nchi.
Mfano wanawaimiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia na waachane na matumizi ya kuni na mkaa amesema haya kwenye semina iliowakutaanisha mabibiafya na mabwanaafya ukumbi wa mwalimu nyerere jijini dar es salaam .
Huku Esta Mambali akisisitiza kuwa elimu wanazozitoa wanafikia makurdi yote wakiwemo watu waishiopembezoni na makurdi maalum wakiwemo watu wenye ulemavu wa aina zote.
Habari picha na Ally
No comments:
Post a Comment