Mkurugenzi wa Tantrade Latifa M Khamis amesema wameingia makubaliano na nchi ya Korea Kusini lengo wafanyabiashara watanzania waweze kupeleka biashara zao kwa uhuru ambako itasaidia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara za watanzania .
Makubaliano haya yamefungua milango ya Wakorea Kusini kuja kuwekeza Tanzania. Bi Latifa M Khamis amesema tantrade inatekeleza haya kwa vitendo kwaajili ya kumuunga mkono rais Dr Samia falsafa ya kukuza diplomatic ya uchumi ambako kwenye maonyesho ya sabasaba ya mwaka huu kutakuwa na siku ya bidhaa za Korea amesema jijini dar es salaam alipokutana na wakorea.
Habari picha na
No comments:
Post a Comment