Mkurugenzi wa Tccia Oska Kisanga amesema tantrade imewasaidia kwa kiasi kikubwa kupeleka biashara zao nchini Korea Kusini baada ya kuingia makubaliano na nchi hiya ambako mwanzoni ilikuwa vigumu watanzania kupeleka biashara zao nchini Korea Kusini.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment