Manual W Muro senior Finance Specialist Cookfund Programme Meneger amesema biashara ya hewa ukaa inafaida kubwa ni vyema watanzania wajitokeze kwa wingi katika kuwekeza kwenye biashara hii ya hewa ukaa.
Kwani kwa Tanzania inafursa kubwa ya kufanya biashara hii kwakuwa kuna hekta za misitu zaidi ya milioni40 pia biashara hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kuifadhi na kulinda misitu yet kwani wananchi wataacha matumizi ya kuni na mkaa katika kupika.
Imanue W Muro amesema ni vyema serikali na sekta binausi waweke dira ya pamoja ili kufanikisha biashara ya hewa ukaa ,pia serikali ifanye mabolesho ya sera ,kanuni na sheria ya biashara ya hewa ukaa lengo kuwavutia watu wengi kuwekeza kwenye biashara hii ya hewa ukaa.
Ambako sheria iliopo sasa ilianzishwa mwaka 2022 ,amesema haya jijini dar es salaam kwenye mkutano wa wadau wa hewa ya ukaa UNIDO,COOKFUND FOOD AND AGRICUITURE OF ORGANIZATION OF THE UNITED NATIONS NA UNCDF
Habari picha na Ally thabit
No comments:
Post a Comment