Winifrida Anyambi Robert Engineer kutoka TIRDO amesema wamefanya bunifu ya matumizi ya nishati safi mbalimbali katika kuunga mkono juhudi na jitihada za rais Dr Samia kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia wameweza kubuni mkaa safi wa kupikia ambao hauaribu mazingira na auna madhara ya kiafya kwa watumiaji .
Pia wamebuni majiko ambayo yanaubora katika matumizi ya kupikia .
Winifrida Anyambi amesema katika mradi wao wameweza kuwafikia wanawake na wanaume ,vijana na wasichana katika shughuri zao za ujasilia Mali kwenye mikoa ya Geita,Pwani,Mwanza,Morogoro na Dar es salaam amesema haya kwenye wiki ya bunifu ilioandaliwa na COSTECH jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment