Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wanawake na Makundi maalum Dr Dorothy Ngwajima ameipongeza Equity bank kwa kuzinduwa dirisha maalum kwakuwahudumia wanawake ambako itasaidia wanawake kupata mikopo ya masharti nafuu amewataka wanawake kuitumia bank ya Equity ili wajikwamuwe kiuchumi.
No comments:
Post a Comment